Mwongozo wa Jamii

Mwongozo wa Ushiriki wa Jamii Unaozingatia Jinsia Kwenye Uwekezaji Mkubwa Katika Ardhi

A woman working in a farm in Africa.
Paper author: 
Oxfam
Paper publication date: 
Monday, October 19, 2020

Oxfam in Tanzania has translated the Enabling Voices, Demanding Rights: A guide to gender-sensitive community engagement in large-scale land-based investment in agriculture, which was published in 2017 into Kiswahili community and technical guides.

Uwekezaji kwenye kilimo unaweza kuwanufaisha wanajami wa kawaida, lakini ushahidi unaonesha kwamba matokeo si mazuri kwenye uwekezaji mkubwa wa ardhi barani Afrika hususani kwa wanawake na jamii. Hali ya kuwakandamiza wanawake imesababisha kukosa haki ya kumiliki ardhi. Wanawake wameachwa nyuma katika kupata fursa za kushiriki na kupaza sauti zao kuhusu mahitaji yao katika uongozi wa maeneo ambayo hupendekeza utoaji wa ardhi ya jamii kwa muwekezaji.

Pakua kitabu  hiki kinachotoa mwongozo kwa jamii juu ya ushiriki wa jamii unaozingatia jinsia kwenye uwekezaji mkubwa katika Ardhi.